Kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa raha ni rahisi kuliko kumwamini Mwe — Enock Maregesi

Norway Timelapse
PlayPlay

previous arrow
next arrow
Norway Timelapse
Budapest Timelapse
Iceland Timelapse
Berlin Timelapse
London Timelapse
previous arrow
next arrow

Kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa raha ni rahisi kuliko kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa shida, na utahitaji imani kuendelea kumwamini wakati wa dhiki. Vipindi vigumu katika maisha yetu hutokea kwa kila mmoja wetu. Kuamini ya kwamba Mungu ana makusudi ya lazima kukuondolea vikwazo katika maisha yako ni vigumu sana wakati mwingine, lakini imani ndicho kitu cha muhimu zaidi unachotakiwa kuwa nacho katika kipindi hiki ambacho dunia imekata tamaa. Amani ya Mungu, ambayo huzidi hekima na maarifa yote ya kibinadamu, ni kuliamini neno la Mungu kwamba ni la kweli. Bila imani hutaweza kumfurahisha Mungu. Imani ni ufunguo wa nguvu, uwezo na neema ambavyo Mungu ametupangia. Kwa ufupi, Mungu ni mkubwa kuliko wewe na matatizo yako.

Enock Maregesi

Related Authors: Enock Maregesi

Related Topics: ability, amani-ya-mungu, comfort-zone, deliberately, dhiki, difficulty, dunia-imekata-tamaa, faith, god, god-almighty, grace, imani, key, life, maisha, makusudi, matatizo, mungu, mwenyezi-mungu, neema, nguvu, obstacles, peace-of-god, power, problems, ufunguo, uwezo, vikwazo, wakati-wa-raha, world-has-given-up

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *